KISWAHILI

EKKLESIOLOJIA: MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU KANISA (MTAZAMO WA KIHISTORIA)

Book information

Publisher
Truth Printing Press
Year
2020
ISBN
9789976572605
Language
kiswahili
Format
PDF
Filesize
1 MB (1140848 bytes)
Series
Teolojia Pangilifu-3
Edition
1
Pages
195\195
Time added
2021-03-31 03:01:43

Description

Mwandishi wa kitabu hiki ni mbobevu katika masuala ya Teolojia Pangilifu (Systematic Theology) katika nyanja ya wanarefomati (Reformed Traditions). Amefafanua kwa undani zaidi maana ya kanisa na maendeleo yake. Yafuatayo ni maelezo yake mwenyewe: "Ni mfululizo wa masomo katika uwanja wa Teolojia Pangilifu (systematic Theology). Katika kitabu hiki tunashughulikia mafundisho ya Kikristo kuhusu kanisa. Hiki siyo kitabu cha Historia ya Kanisa, bali ni mafundisho kuhusu kanisa, yaani “eklezia.” Katika kitabu hiki nimefanya uchambuzi wa kanisa kwa kuzingatia mtazamo wa kibiblia, kihistoria, na kitamaduni. Hata hivyo, mahitimisho yote yamezingatia mtazamo wa Teolojia Iliyoboreshwa au Refomati (Reformed Theology), kwani ninaamini kwamba ndio mtazamo wa Kibiblia, ingawa ama kwa hakika hauwezi kukosa changamoto. Ikumbukwe kwamba kanisa ni mojawapo ya taasisi ambayo inavutia watu wengi katika dunia hii. Na pengine, mojawapo ya sababu kuu ni kwamba kanisa lilianzishwa na Mungu mwenyewe kwa ajili ya kusudi lake maalumu. Katika muono huo, tunahitaji sasa kujua kanisa ni kitu gani, lilianzia wapi? Liliendeleaje na linaendeleaje? Kipi kinachoonesha kwamba hili ni kanisa? Zipi ni sifa anuwai za kanisa la kweli? Haya ni maswali machache ambayo yamejibiwa katika katika kitabu hiki." YALIYOMO TABARUKU i UTANGULIZI ii SURA YA KWANZA 1 KANISA NA DHANA ZAKE 1 1. Maana ya Kanisa 1 2. Kanisa katika Agano la Kale na Agano Jipya 4 3. Kanisa na Ufalme wa Mungu 10 4. Taswira za Kibiblia kuhusu Kanisa 12 5. Kanisa kama Kiumbe Hai na Taasisi 15 SURA YA PILI 16 MAENDELEO YA KANISA KATIKA NYAKATI MBALIMBALI ZA HISTORIA 16 1. Enzi za mababa wa Kanisa 17 2. Zama za kati za Kanisa 18 3. Zama za Matengenezo ya Kanisa 20 a. Martin Luther 22 b. Wa-Anabaptisti 24 c. Wana-Refomati 25 SURA YA TATU 28 AINA, SIFA, ALAMA NA MAKUSUDI YA KANISA 28 I. Aina za kanisa 28 1. Kanisa la Ulimwengu na Kanisa la Mbinguni 28 2. Kanisa linaloonekana na Kanisa lisiloonekana 28 3. Uhusiano Kati ya Kanisa Lisiloonekana na Kanisa Linaloonekana 29 II. Sifa za Kanisa 31 1. Umoja 32 2. Utakatifu 37 3. Kanisa la Ulimwenguni pote (Ukatoliki) 38 4. Utume 39 5. Kutokuwa na Makosa kwa Kanisa 43 III. Alama za Kanisa 45 1. Kuhubiriwa kwa Neno 49 2. Kupokea kwa usahihi Sakramenti 52 3. Utekelezaji wa dhati wa Nidhamu ya Kanisa 52 IV. Makusudi ya Kanisa 58 1. Kumtukuza Mungu 59 2. Kuwajenga Waumini 61 3. Kufanya Uinjilisti. 63 SURA YA NNE 66 SERIKALI YA KANISA 66 I. Aina Anuwai za Serikali ya Kanisa 68 1. Wasiona na serikali: Quakers na Darbyites (Kwaka na Dabite) 68 2. Serikali ya Ki-Erastiani 69 3. Serikali ya Ki-askofu (Episcopal) 70 4. Serikali ya Ki-Kusanyiko (Congregationalism) 75 5. Serikali ya Ki-Kipresbiteri 78 II. Kanisa na serikali za Kiraia 86 1. Nguvu ya Kanisa 86 1. Nguvu ya serikali ya kiraia 88 SURA YA TANO 93 WATUMISHI WA KANISA 93 I. Watumishi Wasio wa Kawaida 94 1. Mitume 94 2. Manabii 96 3. Wainjilisti 98 II. Watumishi wa Kawaida 99 1. Wazee wa Kanisa 100 Sifa za mzee wa Kanisa 104 Idadi ya Wazee kwa Kila Kanisa la Mahali 107 2. Mchungaji au mwalimu 108 3. Shemasi (Dikoni au Mhudumu) 109 III. Usimikaji 111 SURA YA SITA 116 NJIA ZA NEEMA 116 I. Neno 120 II. Sakramenti 126 1. Ubatizo 134 Dhana ya Ubatizo katika Dini za Kiafrika 135 Ibada za Kuosha katika Agano la Kale 136 Ubatizo katika Dini ya Kiyahudi (Judaism) 136 Aina za Batizo Zinazojulikana katika Maandiko 137 1. Ubatizo wa Yohana 138 2. Ubatizo wa Wanafunzi wa Yesu 140 3. Ubatizo wa Kikristo 141 A. Utafiti wa Kihistoria na Nadharia za Ubatizo. 141 B. Kusudi la Kubatizwa 144 C. Njia Sahihi ya Ubatizo 146 D. Mamlaka ya Kubatiza 150 2. Meza ya Bwana 153 Utafiti wa kihistoria 153 Utendaji wa Ekaristi 162 1. Uvunjaji wa mkate 162 2. Mvinyo (divai) 163 SURA YA SABA 164 IBADA NA SIKU YA KUABUDU 164 1. Siku ya kuabudu: Jumamosi au Jumapili? 164 2. Namna ya Kuabudu 165 3. Utoaji katika ibada 167 3. Matumizi ya muziki kanisani 168 4. Kucheza kwenye ibada 170 SURA YA NANE 173 KUWA MWANACHAMA WA KANISA 173 1. Mfano wa Kanisa la Kwanza 175 2. Uwepo wa Serikali ya Kanisa 177 Marejeleo 180

Similar books