Kiswahili 5. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi
Book information
Description
Выходные данные неизвестны. Изд.: Tanprints. 2012 — 88 стр.Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wanafunzi na waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule za sekondari.Ni cha kukidhi haja ya muhtasari wa sekondari nchini Rwanda. Hii ina maana kwamba maelezo yote kuhusu somo hili yatakayotolewa humu yatakuwa ni yale yanayolingana na kidato hiki.Kitabu cha mwanafunzi kidato cha tano, kina ndani mwake masomo yanayotarajiwa kufundishwa wanafunzi wa Kiswahili kidato husika, ambayo ni pamoja na: fasihi, tamathali za usemi, matumizi ya lugha ya Kiswahili, mnyambuliko wa vitenzi, uhakiki, ufupisho, hotuba, aina za tungo, kupambanua na kuchambua tungo, na utungaji wa barua mbalimbali. Kitabu hiki kimeandikwa na Bwana Niyirora Emmanuel na Ndayambaje Ladislas, kutoka Chuo Kikuu cha Elimu cha Kigali (KIE). Kitabu hiki kitawasaidia wanafunzi kujua lugha ya Kiswahili ambayo ni lugha ya kibantu na iliyopiga hatua kimatumizi, kimsamiati, na yenye kutumiwa na jamii mbalimbali barani Afrika na ulimwengu kwa ujumla. Kwa sababu Rwanda imeingia katika Jumuia ya Afrika Mashariki, ni lazima Wanyarwanda wote wawe na ujuzi wa lugha hii muhimu. Katika kitabu hiki mwanafunzi anapatiwa maelezo, mifano na mazoezi kuhusu mada inayofundishwa ili kuieleza vyema.Tunawatakia mafanikio mema watu wote watakaosoma na watakaotumia kitabu hiki.Учебник суахили для 5 класса средних школ Руанды (2 книга из серии).
Similar books
Euskara Swahili - Swahili Euskara Hiztegi txikia
A handbook of the Swahili language as spoken at Zanzibar
African Proverbs Project. Kiswahili Proverbs. Lesson 10. Mtoto umleavyo
RAR
African Proverbs Project. Kiswahili Proverbs. Lesson 09. Asiyekia la Mkuu Huvunyika Guu
RAR
African Proverbs Project. Kiswahili Proverbs. Lesson 08. Ibilisi wa mtu ni mtu
RAR
African Proverbs Project. Kiswahili Proverbs. Lesson 07. Umthaniaye ndiye kumbe siyo
RAR
African Proverbs Project. Kiswahili Proverbs. Lesson 05. Mtoto wa nyoka ni nyoka
RAR
African Proverbs Project. Kiswahili Proverbs. Lesson 04. Mchagua jembe
RAR