SUAHILI-ENGLISH

Tuki kamusi ya kiswahili-kiingereza. Swahili-English dictionary

Book information

Language
suahili-english
Format
PDF
Filesize
3 MB (3524985 bytes)
Pages
\349
Topic
Linguistics Foreign
Library
twirpx
Time added
2017-08-07 07:01:42

Description

Publisher: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Publication date: 2001 Number of pages: 349Kamusi hii ya Kiswahili-Kiingereza ina historia ndefu. Wazo la kutunga kamusi hii ilianzishwa mwaka 1964 na Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili (ambacho kuanzia mwaka 1972 kilijulikana kama Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili). Wazo hili lilibuniwa wakati wa enzi ya Profesa Wilfred H.Whitely, ambaye wakati huo alikuwa ndiye Mkurugenzi wa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili, ikiwa ni miaka 25 baada ya kuchapishwa kwa kamusi ya Johnson ijulikanayo kama Standard Swahili-English Dictionary (1939). Kazi ya utunzi wa kamusi mpya ilianza baada ya shirika lijulikanalo kama Calouste Gulbenkian Foundation kutoa msaada wa pesa kwa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 1964 hadi Octoba 1967 ili kukiwezesha chuo kumwajiri mchunguzi atakayeweza kuifanya kazi hiyo.

Similar books