Nani Aliyejenga Usoshalisti katika Urusi?
Book information
Description
Мальковская И.А. Кто строил социализм? На языке суахили. В книге рассказано о первых шагах в построении и упрочении нового общества, о формировании нового человека на начальном этапе строительства социализма в СССР. “Kitabu hiki kinamjulisha msomaji juu ya hatua za mwanzo zilizopigwa na Utawala wa Kisovieti katika kujenga jamii mpya. Kwa mfano, kinaelezea jinsi ilivyoandaliwa mipango ya kuwajibiza maadui wa utawala wa Kisovieti, jinsi kulivyoanza kufanywa ukiukaji kuingia katika ujenzi wa amani, jinsi kulivyoendeshwa kampeni ya nidhamu ya kazi, kulivyoanzishwa upangaji wa uchumi, kulivyokomeshwa hali ya kutokua kusoma na kuandika, pia jinsi kulivyofunzwa wataalamu wa kwanza kwa ajili ya uzalishaji mali wa kisoshalisti. Nini maana ya mjumuiko na jinsi unavyomwathiri binadamu. Kadhalika jinsi kuliyvotekelezwa jukumu la kumwadilisha bindamu mwenye hulka mpya.” missing pg. 4
Similar books
Nani Aliyejenga Usoshalisti katika Urusi?
1986 · RAR
"Mau Mau" kizuizini: kisa cha miaka saba ndani ya kampi za kuhamishwa katika Kenya
1965 · PDF
Hali ya Haki za Watoto Tanzania: Taarifa ya Utafiti Juu ya Hali Halisi ya Kisheria na Kiutendaji
Koja La Lugha
1969 · PDF
Kamusi ya Watoto
2011 · PDF
Biashara ya Utumwa katika Afrika ya Magharibi
1974 · PDF
Kumbukumbu za Vita vya Maji Maji: Sehemu ya Kwanza, 1905-1907
1967 · PDF
Wanawake wa TANU. Jinsia na Utamaduni katika Kujenga Uzalendo Tanganyika: 1955-1965
2005 · PDF