SWAHILI

Kikosi cha Kisasi

Book information

Publisher
African Books Collective
Year
2018
ISBN
9789987449958, 9987449956
Google Books ID
Cf_XEAAAQBAJ
Language
swahili
Format
EPUB
Filesize
1 MB (1298725 bytes)
Pages
220\0
Time added
2024-01-05 10:55:07

Description

Ni nani hasa anayewaua viongozi wa wapigania uhuru? Kwa nini wengi wa viongozi hawa wameuawa jijini Kinshasa kuliko mahali pengine popote Afrika? Ili kukomesha vitendo hivi vya kijahili, Umoja wa Nchi Huru za Kiafrika (OAU) inakata shauri kuwasaka wauwaji hawa na kuwafagilia mbali. Willy Gamba, mpelelezi maarufu wa Afrika, anachaguliwa kuongoza kikosi cha wapelelezi wa Kiafrika kuwasaka. Kinshasa, jiji linalosika kwa starehe zake linageuka uwanja wa mapambano kati ya vijana wapiganaji shupavu wakiongozwa na Willy Gamba, na wapinga mapinduzi wakiongozwa na Kaburu Pierre Simonard. Willy pamoja na kikosi chake wanalivamia jiji la Kinshasa kuhakikisha wanakomesha mauaji hayo. Ndipo patashika ambalo halijawahi kutokea barani Afrika linapoanza na kuliwasha moto jiji hiliThe four books in this series of detective novels, written in Swahili, were authored by the late Aristablus Elvis Musiba. The novels follow the exploits of Willy Gamba, an elite special operations Tanzanian intelligence officer. Set in various locations in Africa Willy is dispatched to neutralise agents within the Apartheid Regime as well as saboteurs, who are out to destroy those involved with the liberation struggles being waged in Southern Africa.

Similar books